Native Bible

1 Chronicles 1:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Noa walikuwa: Shemu, Hamu na Yafethi.

1 Chronicles 1:4 in English

1 Chronicles 1:4 · Berean Standard Bible

The sons of Noah:* Shem, Ham, and Japheth.

Context

2Kenani, Mahalaleli, Yaredi, 3Enoki, Methusela, Lameki, Noa. 4Wana wa Noa walikuwa: Shemu, Hamu na Yafethi. 5Wana wa Yafethi walikuwa: Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 6Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.