Native Bible

1 Chronicles 1:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Kanaani walikuwa: Sidoni, mzaliwa wake wa kwanza, na Hethi,

1 Chronicles 1:13 in English

1 Chronicles 1:13 · Berean Standard Bible

And Canaan was the father of Sidon his firstborn,* and of the Hittites,*

Context

11Misraimu akawazaa: Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi, 12Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti) na Wakaftori. 13Wana wa Kanaani walikuwa: Sidoni, mzaliwa wake wa kwanza, na Hethi, 14Wayebusi, Waamori, Wagirgashi, 15Wahivi, Waariki, Wasini,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.