Native Bible

1 Chronicles 1:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wahivi, Waariki, Wasini,

1 Chronicles 1:15 in English

1 Chronicles 1:15 · Berean Standard Bible

the Hivites, the Arkites, the Sinites,

Context

13Wana wa Kanaani walikuwa: Sidoni, mzaliwa wake wa kwanza, na Hethi, 14Wayebusi, Waamori, Wagirgashi, 15Wahivi, Waariki, Wasini, 16Waarvadi, Wasemari na Wahamathi. 17Wana wa Shemu walikuwa: Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. Wana wa Aramu walikuwa: Usi, Huli, Getheri na Mesheki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.