1 Nyakati 1:17
1 Chronicles 1:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Shemu walikuwa: Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. Wana wa Aramu walikuwa: Usi, Huli, Getheri na Mesheki.
1 Chronicles 1:17 in English
1 Chronicles 1:17 · Berean Standard Bible
The sons of Shem: Elam, Asshur, Arphaxad, Lud, and Aram. The sons of Aram: * Uz, Hul, Gether, and Meshech.*
Context
15Wahivi, Waariki, Wasini, 16Waarvadi, Wasemari na Wahamathi. 17Wana wa Shemu walikuwa:
Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu.
Wana wa Aramu walikuwa:
Usi, Huli, Getheri na Mesheki. 18Arfaksadi akamzaa Shela,
Shela akamzaa Eberi. 19Eberi alipata wana wawili:
Mmoja wao aliitwa Pelegi,* kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.