1 Nyakati 1:19
1 Chronicles 1:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Eberi alipata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi,* kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.
1 Chronicles 1:19 in English
1 Chronicles 1:19 · Berean Standard Bible
Two sons were born to Eber: One was named Peleg,* because in his days the earth was divided, and his brother was named Joktan.
Context
17Wana wa Shemu walikuwa:
Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu.
Wana wa Aramu walikuwa:
Usi, Huli, Getheri na Mesheki. 18Arfaksadi akamzaa Shela,
Shela akamzaa Eberi. 19Eberi alipata wana wawili:
Mmoja wao aliitwa Pelegi,* kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani. 20Wana wa Yoktani walikuwa:
Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera, 21Hadoramu, Uzali, Dikla,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.