Native Bible

1 Chronicles 1:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Arfaksadi akamzaa Shela, Shela akamzaa Eberi.

1 Chronicles 1:18 in English

1 Chronicles 1:18 · Berean Standard Bible

Arphaxad was the father of Shelah, and Shelah was the father of Eber.

Context

16Waarvadi, Wasemari na Wahamathi. 17Wana wa Shemu walikuwa: Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. Wana wa Aramu walikuwa: Usi, Huli, Getheri na Mesheki. 18Arfaksadi akamzaa Shela, Shela akamzaa Eberi. 19Eberi alipata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi,* kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani. 20Wana wa Yoktani walikuwa: Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.