1 Nyakati 1:37
1 Chronicles 1:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Reueli walikuwa: Nahathi, Zera, Shama na Miza.
1 Chronicles 1:37 in English
1 Chronicles 1:37 · Berean Standard Bible
The sons of Reuel: Nahath, Zerah, Shammah, and Mizzah.
Context
35Wana wa Esau walikuwa:
Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora. 36Wana wa Elifazi walikuwa:
Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi;
Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki. 37Wana wa Reueli walikuwa:
Nahathi, Zera, Shama na Miza. 38Wana wa Seiri walikuwa:
Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani. 39Wana wa Lotani walikuwa wawili:
Hori na Homamu. Lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa Timna.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.