1 Nyakati 1:38
1 Chronicles 1:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Seiri walikuwa: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani.
1 Chronicles 1:38 in English
1 Chronicles 1:38 · Berean Standard Bible
The sons of Seir: Lotan, Shobal, Zibeon, Anah, Dishon, Ezer, and Dishan.
Context
36Wana wa Elifazi walikuwa:
Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi;
Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki. 37Wana wa Reueli walikuwa:
Nahathi, Zera, Shama na Miza. 38Wana wa Seiri walikuwa:
Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani. 39Wana wa Lotani walikuwa wawili:
Hori na Homamu. Lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa Timna. 40Wana wa Shobali walikuwa:
Alvani,* Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu.
Wana wa Sibeoni walikuwa:
Aiya na Ana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.