Native Bible

1 Chronicles 1:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.

1 Chronicles 1:36 in English

1 Chronicles 1:36 · Berean Standard Bible

The sons of Eliphaz: Teman, Omar, Zepho,* Gatam, and Kenaz; and by Timna, Amalek.

Context

34Abrahamu alikuwa baba wa Isaki. Wana wa Isaki walikuwa: Esau na Israeli. 35Wana wa Esau walikuwa: Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora. 36Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki. 37Wana wa Reueli walikuwa: Nahathi, Zera, Shama na Miza. 38Wana wa Seiri walikuwa: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.