1 Nyakati 1:34
1 Chronicles 1:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Abrahamu alikuwa baba wa Isaki. Wana wa Isaki walikuwa: Esau na Israeli.
1 Chronicles 1:34 in English
1 Chronicles 1:34 · Berean Standard Bible
Abraham was the father of Isaac. The sons of Isaac: Esau and Israel.
Context
32Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa:
Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua.
Wana wa Yokshani walikuwa:
Sheba na Dedani. 33Wana wa Midiani walikuwa:
Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa.
Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura. 34Abrahamu alikuwa baba wa Isaki.
Wana wa Isaki walikuwa:
Esau na Israeli. 35Wana wa Esau walikuwa:
Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora. 36Wana wa Elifazi walikuwa:
Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi;
Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.