Native Bible

1 Chronicles 1:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura.

1 Chronicles 1:33 in English

1 Chronicles 1:33 · Berean Standard Bible

The sons of Midian: Ephah, Epher, Hanoch, Abida, and Eldaah. All of these were Keturah’s sons.

Context

31Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli. 32Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. Wana wa Yokshani walikuwa: Sheba na Dedani. 33Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura. 34Abrahamu alikuwa baba wa Isaki. Wana wa Isaki walikuwa: Esau na Israeli. 35Wana wa Esau walikuwa: Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.