Native Bible

1 Chronicles 1:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli.

1 Chronicles 1:31 in English

1 Chronicles 1:31 · Berean Standard Bible

Jetur, Naphish, and Kedemah. These were the sons of Ishmael.

Context

29Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu, 30Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema, 31Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli. 32Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. Wana wa Yokshani walikuwa: Sheba na Dedani. 33Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.