1 Nyakati 1:30
1 Chronicles 1:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema,
1 Chronicles 1:30 in English
1 Chronicles 1:30 · Berean Standard Bible
Mishma, Dumah, Massa, Hadad, Tema,
Context
28Abrahamu alikuwa na wana wawili:
Isaki na Ishmaeli. 29Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari:
Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu, 30Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema, 31Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli. 32Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa:
Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua.
Wana wa Yokshani walikuwa:
Sheba na Dedani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.