Native Bible

1 Chronicles 1:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Abrahamu alikuwa na wana wawili: Isaki na Ishmaeli.

1 Chronicles 1:28 in English

1 Chronicles 1:28 · Berean Standard Bible

The sons of Abraham were Isaac and Ishmael.

Context

26Serugi, Nahori, Tera, 27Tera akamzaa Abramu (yaani, Abrahamu). 28Abrahamu alikuwa na wana wawili: Isaki na Ishmaeli. 29Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu, 30Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.