Native Bible

1 Chronicles 1:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu,

1 Chronicles 1:29 in English

1 Chronicles 1:29 · Berean Standard Bible

These are their genealogies: Nebaioth the firstborn of Ishmael, then Kedar, Adbeel, Mibsam,

Context

27Tera akamzaa Abramu (yaani, Abrahamu). 28Abrahamu alikuwa na wana wawili: Isaki na Ishmaeli. 29Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu, 30Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema, 31Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.