Native Bible

1 Chronicles 1:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tera akamzaa Abramu (yaani, Abrahamu).

1 Chronicles 1:27 in English

1 Chronicles 1:27 · Berean Standard Bible

and Abram (that is, Abraham).

Context

25Eberi, Pelegi, Reu, 26Serugi, Nahori, Tera, 27Tera akamzaa Abramu (yaani, Abrahamu). 28Abrahamu alikuwa na wana wawili: Isaki na Ishmaeli. 29Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.