Native Bible

1 Chronicles 1:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Lotani walikuwa wawili: Hori na Homamu. Lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa Timna.

1 Chronicles 1:39 in English

1 Chronicles 1:39 · Berean Standard Bible

The sons of Lotan: Hori and Homam.* Timna was Lotan’s sister.

Context

37Wana wa Reueli walikuwa: Nahathi, Zera, Shama na Miza. 38Wana wa Seiri walikuwa: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani. 39Wana wa Lotani walikuwa wawili: Hori na Homamu. Lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa Timna. 40Wana wa Shobali walikuwa: Alvani,* Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana. 41Mwana wa Ana alikuwa: Dishoni. Nao wana wa Dishoni walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.