Zekaria 12:11
Zechariah 12:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika siku hiyo kilio kitakuwa kikubwa Yerusalemu, kama kilio cha Hadad-Rimoni katika tambarare ya Megido.
Zechariah 12:11 in English
Zechariah 12:11 · Berean Standard Bible
On that day the wailing in Jerusalem will be as great as the wailing of Hadad-rimmon in the plain of Megiddo.
Context
9Katika siku hiyo nitatoka kuangamiza mataifa yote yatakayoshambulia Yerusalemu. 10“Nami nitamiminia nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu roho ya neema* na maombi. Watanitazama mimi, yule waliyemchoma. Nao watamwombolezea kama mtu anayemwombolezea mwanawe wa pekee na kusikitika kwa uchungu kama anayemsikitikia mzaliwa wake wa kwanza wa kiume. 11Katika siku hiyo kilio kitakuwa kikubwa Yerusalemu, kama kilio cha Hadad-Rimoni katika tambarare ya Megido. 12Nchi itaomboleza, kila ukoo peke yake, nao wake zao peke yao. Ukoo wa nyumba ya Daudi na wake zao, ukoo wa nyumba ya Nathani na wake zao, 13ukoo wa nyumba ya Lawi na wake zao, ukoo wa Shimei na wake zao,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.