Zekaria 12:13
Zechariah 12:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ukoo wa nyumba ya Lawi na wake zao, ukoo wa Shimei na wake zao,
Zechariah 12:13 in English
Zechariah 12:13 · Berean Standard Bible
the clan of the house of Levi and their wives, the clan of Shimei and their wives,
Context
11Katika siku hiyo kilio kitakuwa kikubwa Yerusalemu, kama kilio cha Hadad-Rimoni katika tambarare ya Megido. 12Nchi itaomboleza, kila ukoo peke yake, nao wake zao peke yao. Ukoo wa nyumba ya Daudi na wake zao, ukoo wa nyumba ya Nathani na wake zao, 13ukoo wa nyumba ya Lawi na wake zao, ukoo wa Shimei na wake zao, 14na koo zote zilizobaki na wake zao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.