Native Bible

Zechariah 12:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na koo zote zilizobaki na wake zao.

Zechariah 12:14 in English

Zechariah 12:14 · Berean Standard Bible

and all the remaining clans and their wives.

Context

12Nchi itaomboleza, kila ukoo peke yake, nao wake zao peke yao. Ukoo wa nyumba ya Daudi na wake zao, ukoo wa nyumba ya Nathani na wake zao, 13ukoo wa nyumba ya Lawi na wake zao, ukoo wa Shimei na wake zao, 14na koo zote zilizobaki na wake zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.