Native Bible

Song of Songs 6:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Rudi, rudi, ee Mshulami; rudi, rudi ili tupate kukutazama!

Song of Songs 6:13 in English

Song of Songs 6:13 · Berean Standard Bible

Come back, come back, O Shulammite! Come back, come back, that we may gaze upon you.

Context

11Niliteremka kwenye bustani ya miti ya milozi ili kutazama machipuko ya bondeni, kuona kama mizabibu imechipua au kama mikomamanga imechanua maua. 12Kabla sijangʼamua, shauku yangu iliniweka katikati ya magari ya kifalme ya kukokotwa na farasi ya watu wangu. 13Rudi, rudi, ee Mshulami; rudi, rudi ili tupate kukutazama! 14(13) Kwa nini kumtazama Mshulami, kama kutazama ngoma ya Mahanaimu?*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.