Native Bible

Song of Songs 6:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

(13) Kwa nini kumtazama Mshulami, kama kutazama ngoma ya Mahanaimu?*

Song of Songs 6:14 in English

Song of Songs 6:14 · Berean Standard Bible

(13) Why do you look at the Shulammite, as on the dance of Mahanaim *?

Context

12Kabla sijangʼamua, shauku yangu iliniweka katikati ya magari ya kifalme ya kukokotwa na farasi ya watu wangu. 13Rudi, rudi, ee Mshulami; rudi, rudi ili tupate kukutazama! 14(13) Kwa nini kumtazama Mshulami, kama kutazama ngoma ya Mahanaimu?*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.