Native Bible

Song of Songs 6:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kabla sijangʼamua, shauku yangu iliniweka katikati ya magari ya kifalme ya kukokotwa na farasi ya watu wangu.

Song of Songs 6:12 in English

Song of Songs 6:12 · Berean Standard Bible

Before I realized it, my desire had set me among the royal chariots of my people.*

Context

10Ni nani huyu atokeaye kama mapambazuko, mzuri kama mwezi, mwangavu kama jua, ametukuka kama nyota zifuatanazo? 11Niliteremka kwenye bustani ya miti ya milozi ili kutazama machipuko ya bondeni, kuona kama mizabibu imechipua au kama mikomamanga imechanua maua. 12Kabla sijangʼamua, shauku yangu iliniweka katikati ya magari ya kifalme ya kukokotwa na farasi ya watu wangu. 13Rudi, rudi, ee Mshulami; rudi, rudi ili tupate kukutazama! 14(13) Kwa nini kumtazama Mshulami, kama kutazama ngoma ya Mahanaimu?*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.