Native Bible

Song of Songs 6:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni nani huyu atokeaye kama mapambazuko, mzuri kama mwezi, mwangavu kama jua, ametukuka kama nyota zifuatanazo?

Song of Songs 6:10 in English

Song of Songs 6:10 · Berean Standard Bible

Who is this who shines like the dawn, as fair as the moon, as bright as the sun, as majestic as the stars in procession?

Context

8Panaweza kuwepo malkia sitini, masuria themanini na mabikira wasiohesabika; 9lakini hua wangu, mkamilifu wangu, ni wa namna ya pekee, binti pekee kwa mama yake, kipenzi cha yeye aliyemzaa. Wanawali walimwona na kumwita aliyebarikiwa; malkia na masuria walimsifu. 10Ni nani huyu atokeaye kama mapambazuko, mzuri kama mwezi, mwangavu kama jua, ametukuka kama nyota zifuatanazo? 11Niliteremka kwenye bustani ya miti ya milozi ili kutazama machipuko ya bondeni, kuona kama mizabibu imechipua au kama mikomamanga imechanua maua. 12Kabla sijangʼamua, shauku yangu iliniweka katikati ya magari ya kifalme ya kukokotwa na farasi ya watu wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.