Warumi 3:17
Romans 3:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wala njia ya amani hawaijui.”
Romans 3:17 in English
Romans 3:17 · Berean Standard Bible
and the way of peace they have not known.”*
Context
15“Miguu yao ina haraka kumwaga damu; 16maangamizi na taabu viko katika njia zao, 17wala njia ya amani hawaijui.” 18“Hakuna hofu ya Mungu machoni pao.” 19Basi tunajua ya kwamba chochote sheria inachosema, inawaambia wale walio chini ya sheria ili kila kinywa kinyamazishwe na ulimwengu wote uwajibike kwa Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.