Native Bible

Romans 3:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Miguu yao ina haraka kumwaga damu;

Romans 3:15 in English

Romans 3:15 · Berean Standard Bible

“Their feet are swift to shed blood;

Context

13“Makoo yao ni makaburi wazi; kwa ndimi zao wao hufanya udanganyifu.” “Sumu ya nyoka iko midomoni mwao.” 14“Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu.” 15“Miguu yao ina haraka kumwaga damu; 16maangamizi na taabu viko katika njia zao, 17wala njia ya amani hawaijui.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.