Warumi 3:14
Romans 3:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu.”
Romans 3:14 in English
Romans 3:14 · Berean Standard Bible
“Their mouths are full of cursing and bitterness.”*
Context
12Wote wamepotoka,
wote wameoza pamoja;
hakuna atendaye mema,
naam, hakuna hata mmoja.” 13“Makoo yao ni makaburi wazi;
kwa ndimi zao wao hufanya udanganyifu.”
“Sumu ya nyoka iko midomoni mwao.” 14“Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu.” 15“Miguu yao ina haraka kumwaga damu; 16maangamizi na taabu viko katika njia zao,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.