Warumi 3:13
Romans 3:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Makoo yao ni makaburi wazi; kwa ndimi zao wao hufanya udanganyifu.” “Sumu ya nyoka iko midomoni mwao.”
Romans 3:13 in English
Romans 3:13 · Berean Standard Bible
“Their throats are open graves; their tongues practice deceit.”* “The venom of vipers is on their lips.”*
Context
11Hakuna hata mmoja mwenye ufahamu,
hakuna hata mmoja amtafutaye Mungu. 12Wote wamepotoka,
wote wameoza pamoja;
hakuna atendaye mema,
naam, hakuna hata mmoja.” 13“Makoo yao ni makaburi wazi;
kwa ndimi zao wao hufanya udanganyifu.”
“Sumu ya nyoka iko midomoni mwao.” 14“Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu.” 15“Miguu yao ina haraka kumwaga damu;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.