Warumi 3:11
Romans 3:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hakuna hata mmoja mwenye ufahamu, hakuna hata mmoja amtafutaye Mungu.
Romans 3:11 in English
Romans 3:11 · Berean Standard Bible
There is no one who understands, no one who seeks God.
Context
9Tusemeje basi? Je, sisi ni bora kuwaliko wao? La hasha! Kwa maana tumekwisha kuhakikisha kwa vyovyote kwamba Wayahudi na watu wa Mataifa wote wako chini ya nguvu ya dhambi. 10Kama ilivyoandikwa:
“Hakuna mwenye haki, hakuna hata mmoja. 11Hakuna hata mmoja mwenye ufahamu,
hakuna hata mmoja amtafutaye Mungu. 12Wote wamepotoka,
wote wameoza pamoja;
hakuna atendaye mema,
naam, hakuna hata mmoja.” 13“Makoo yao ni makaburi wazi;
kwa ndimi zao wao hufanya udanganyifu.”
“Sumu ya nyoka iko midomoni mwao.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.