Warumi 3:10
Romans 3:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama ilivyoandikwa: “Hakuna mwenye haki, hakuna hata mmoja.
Romans 3:10 in English
Romans 3:10 · Berean Standard Bible
As it is written: “There is no one righteous, not even one.
Context
8Nasi kwa nini tusiseme, kama wengine wanavyotusingizia kuwa tunasema, “Tutende maovu ili mema yapate kuja?” Wao wanastahili hukumu yao. 9Tusemeje basi? Je, sisi ni bora kuwaliko wao? La hasha! Kwa maana tumekwisha kuhakikisha kwa vyovyote kwamba Wayahudi na watu wa Mataifa wote wako chini ya nguvu ya dhambi. 10Kama ilivyoandikwa:
“Hakuna mwenye haki, hakuna hata mmoja. 11Hakuna hata mmoja mwenye ufahamu,
hakuna hata mmoja amtafutaye Mungu. 12Wote wamepotoka,
wote wameoza pamoja;
hakuna atendaye mema,
naam, hakuna hata mmoja.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.