Native Bible

Romans 3:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nasi kwa nini tusiseme, kama wengine wanavyotusingizia kuwa tunasema, “Tutende maovu ili mema yapate kuja?” Wao wanastahili hukumu yao.

Romans 3:8 in English

Romans 3:8 · Berean Standard Bible

Why not say, as some slanderously claim that we say, “Let us do evil that good may result”? Their condemnation is deserved!

Context

6La hasha! Kama hivyo ndivyo ilivyo, Mungu angehukumuje ulimwengu? 7Mtu aweza kuuliza, “Kama uongo wangu unasaidia kuonyesha kweli ya Mungu na kuzidisha utukufu wake, kwa nini basi mimi nahukumiwa kuwa mwenye dhambi?” 8Nasi kwa nini tusiseme, kama wengine wanavyotusingizia kuwa tunasema, “Tutende maovu ili mema yapate kuja?” Wao wanastahili hukumu yao. 9Tusemeje basi? Je, sisi ni bora kuwaliko wao? La hasha! Kwa maana tumekwisha kuhakikisha kwa vyovyote kwamba Wayahudi na watu wa Mataifa wote wako chini ya nguvu ya dhambi. 10Kama ilivyoandikwa: “Hakuna mwenye haki, hakuna hata mmoja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.