Native Bible

Romans 3:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Hakuna hofu ya Mungu machoni pao.”

Romans 3:18 in English

Romans 3:18 · Berean Standard Bible

“There is no fear of God before their eyes.”*

Context

16maangamizi na taabu viko katika njia zao, 17wala njia ya amani hawaijui.” 18“Hakuna hofu ya Mungu machoni pao.” 19Basi tunajua ya kwamba chochote sheria inachosema, inawaambia wale walio chini ya sheria ili kila kinywa kinyamazishwe na ulimwengu wote uwajibike kwa Mungu. 20Kwa hiyo hakuna binadamu hata mmoja atakayehesabiwa haki mbele za Mungu kwa matendo ya sheria, kwa maana sheria hutufanya tuitambue dhambi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.