Warumi 12:14
Romans 12:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wabarikini wale wanaowatesa, barikini wala msilaani.
Romans 12:14 in English
Romans 12:14 · Berean Standard Bible
Bless those who persecute you. Bless and do not curse.
Context
12Kuweni na furaha katika tumaini, katika dhiki kuweni na saburi, dumuni katika maombi. 13Changieni katika mahitaji ya watakatifu, wakaribisheni wageni. 14Wabarikini wale wanaowatesa, barikini wala msilaani. 15Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wale waliao. 16Kaeni kwa amani ninyi kwa ninyi. Msijivune, bali mwe tayari kushirikiana na wanyonge. Wala msiwe watu wenye kujivuna kwamba mnajua kila kitu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.