Warumi 12:13
Romans 12:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Changieni katika mahitaji ya watakatifu, wakaribisheni wageni.
Romans 12:13 in English
Romans 12:13 · Berean Standard Bible
Share with the saints who are in need. Practice hospitality.
Context
11Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana. 12Kuweni na furaha katika tumaini, katika dhiki kuweni na saburi, dumuni katika maombi. 13Changieni katika mahitaji ya watakatifu, wakaribisheni wageni. 14Wabarikini wale wanaowatesa, barikini wala msilaani. 15Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wale waliao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.