Warumi 12:11
Romans 12:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana.
Romans 12:11 in English
Romans 12:11 · Berean Standard Bible
Do not let your zeal subside; keep your spiritual fervor, serving the Lord.
Context
9Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema. 10Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine. 11Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana. 12Kuweni na furaha katika tumaini, katika dhiki kuweni na saburi, dumuni katika maombi. 13Changieni katika mahitaji ya watakatifu, wakaribisheni wageni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.