Warumi 11:28
Romans 11:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa habari ya Injili, wao ni adui wa Mungu kwa ajili yenu, lakini kuhusu kule kuteuliwa kwao ni wapendwa, kwa ajili ya mababa zao wa zamani,
Romans 11:28 in English
Romans 11:28 · Berean Standard Bible
Regarding the gospel, they are enemies on your account; but regarding election, they are loved on account of the patriarchs.
Context
26Hivyo Israeli wote wataokolewa. Kama ilivyoandikwa:
“Mkombozi atakuja kutoka Sayuni;
ataondoa kutokumcha Mungu katika Yakobo. 27Hili ndilo agano langu nao
nitakapoziondoa dhambi zao.” 28Kwa habari ya Injili, wao ni adui wa Mungu kwa ajili yenu, lakini kuhusu kule kuteuliwa kwao ni wapendwa, kwa ajili ya mababa zao wa zamani, 29kwa maana akishawapa watu karama, Mungu haziondoi, wala wito wake. 30Kama vile ninyi wakati fulani mlivyokuwa waasi kwa Mungu lakini sasa mmepata rehema kwa sababu ya kutokutii kwao,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.