Warumi 11:27
Romans 11:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hili ndilo agano langu nao nitakapoziondoa dhambi zao.”
Romans 11:27 in English
Romans 11:27 · Berean Standard Bible
And this is My covenant with them when I take away their sins.”*
Context
25Ndugu zangu, ili msije mkajidai kuwa wenye hekima kuliko mlivyo, nataka mfahamu siri hii: Ugumu umewapata Israeli kwa sehemu hadi idadi ya watu wa Mataifa watakaoingia itimie. 26Hivyo Israeli wote wataokolewa. Kama ilivyoandikwa:
“Mkombozi atakuja kutoka Sayuni;
ataondoa kutokumcha Mungu katika Yakobo. 27Hili ndilo agano langu nao
nitakapoziondoa dhambi zao.” 28Kwa habari ya Injili, wao ni adui wa Mungu kwa ajili yenu, lakini kuhusu kule kuteuliwa kwao ni wapendwa, kwa ajili ya mababa zao wa zamani, 29kwa maana akishawapa watu karama, Mungu haziondoi, wala wito wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.