Native Bible

Romans 11:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana akishawapa watu karama, Mungu haziondoi, wala wito wake.

Romans 11:29 in English

Romans 11:29 · Berean Standard Bible

For God’s gifts and His call are irrevocable.

Context

27Hili ndilo agano langu nao nitakapoziondoa dhambi zao.” 28Kwa habari ya Injili, wao ni adui wa Mungu kwa ajili yenu, lakini kuhusu kule kuteuliwa kwao ni wapendwa, kwa ajili ya mababa zao wa zamani, 29kwa maana akishawapa watu karama, Mungu haziondoi, wala wito wake. 30Kama vile ninyi wakati fulani mlivyokuwa waasi kwa Mungu lakini sasa mmepata rehema kwa sababu ya kutokutii kwao, 31hivyo nao Waisraeli wamekuwa waasi ili kwamba wao nao sasa waweze kupata rehema kwa ajili ya rehema za Mungu kwenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.