Warumi 11:31
Romans 11:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
hivyo nao Waisraeli wamekuwa waasi ili kwamba wao nao sasa waweze kupata rehema kwa ajili ya rehema za Mungu kwenu.
Romans 11:31 in English
Romans 11:31 · Berean Standard Bible
so they too have now disobeyed, in order that they too may now receive mercy through the mercy shown to you.*
Context
29kwa maana akishawapa watu karama, Mungu haziondoi, wala wito wake. 30Kama vile ninyi wakati fulani mlivyokuwa waasi kwa Mungu lakini sasa mmepata rehema kwa sababu ya kutokutii kwao, 31hivyo nao Waisraeli wamekuwa waasi ili kwamba wao nao sasa waweze kupata rehema kwa ajili ya rehema za Mungu kwenu. 32Kwa maana Mungu amewafunga wanadamu wote kwenye kuasi ili apate kuwarehemu wote. 33Tazama jinsi kilivyo kina cha utajiri
wa hekima na maarifa ya Mungu!
Tazama jinsi ambavyo hukumu zake hazichunguziki,
na ambavyo njia zake zisivyotafutikana!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.