Native Bible

Psalms 99:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanalisifu jina lako ambalo ni kuu na la kuogopwa: yeye ni mtakatifu!

Psalms 99:3 in English

Psalms 99:3 · Berean Standard Bible

Let them praise Your great and awesome name— He is holy!*

Context

1Bwana anatawala, mataifa na yatetemeke; anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi, dunia na itikisike. 2Bwana ni mkuu katika Sayuni; ametukuzwa juu ya mataifa yote. 3Wanalisifu jina lako ambalo ni kuu na la kuogopwa: yeye ni mtakatifu! 4Mfalme ni mwenye nguvu na hupenda haki, wewe umethibitisha adili; katika Yakobo umefanya yaliyo haki na sawa. 5Mtukuzeni Bwana Mungu wetu, na mkaabudu katika mahali pa kuwekea miguu yake; yeye ni mtakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.