Native Bible

Psalms 99:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mfalme ni mwenye nguvu na hupenda haki, wewe umethibitisha adili; katika Yakobo umefanya yaliyo haki na sawa.

Psalms 99:4 in English

Psalms 99:4 · Berean Standard Bible

The mighty King loves justice.* You have established equity; You have exercised justice and righteousness in Jacob.

Context

2Bwana ni mkuu katika Sayuni; ametukuzwa juu ya mataifa yote. 3Wanalisifu jina lako ambalo ni kuu na la kuogopwa: yeye ni mtakatifu! 4Mfalme ni mwenye nguvu na hupenda haki, wewe umethibitisha adili; katika Yakobo umefanya yaliyo haki na sawa. 5Mtukuzeni Bwana Mungu wetu, na mkaabudu katika mahali pa kuwekea miguu yake; yeye ni mtakatifu. 6Mose na Aroni walikuwa miongoni mwa makuhani wake, Samweli alikuwa miongoni mwa walioliitia jina lake; walimwita Bwana, naye aliwajibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.