Zaburi 99:2
Psalms 99:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana ni mkuu katika Sayuni; ametukuzwa juu ya mataifa yote.
Psalms 99:2 in English
Psalms 99:2 · Berean Standard Bible
Great is the LORD in Zion; He is exalted above all the peoples.
Context
1Bwana anatawala,
mataifa na yatetemeke;
anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi,
dunia na itikisike. 2Bwana ni mkuu katika Sayuni;
ametukuzwa juu ya mataifa yote. 3Wanalisifu jina lako ambalo ni kuu na la kuogopwa:
yeye ni mtakatifu! 4Mfalme ni mwenye nguvu na hupenda haki,
wewe umethibitisha adili;
katika Yakobo umefanya
yaliyo haki na sawa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.