Native Bible

Psalms 99:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana anatawala, mataifa na yatetemeke; anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi, dunia na itikisike.

Psalms 99:1 in English

Psalms 99:1 · Berean Standard Bible

The LORD reigns; let the nations tremble! He is enthroned above the cherubim; let the earth quake!

Context

1Bwana anatawala, mataifa na yatetemeke; anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi, dunia na itikisike. 2Bwana ni mkuu katika Sayuni; ametukuzwa juu ya mataifa yote. 3Wanalisifu jina lako ambalo ni kuu na la kuogopwa: yeye ni mtakatifu!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.