Zaburi 96:8
Psalms 96:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake; leteni sadaka na mje katika nyua zake.
Psalms 96:8 in English
Psalms 96:8 · Berean Standard Bible
Ascribe to the LORD the glory due His name; bring an offering and enter His courts.
Context
6Fahari na enzi viko mbele yake;
nguvu na utukufu vimo patakatifu pake. 7Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa,
mpeni Bwana utukufu na nguvu. 8Mpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake;
leteni sadaka na mje katika nyua zake. 9Mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake;
dunia yote na itetemeke mbele zake. 10Katikati ya mataifa semeni, “Bwana anatawala.”
Ulimwengu ameuweka imara, hauwezi kusogezwa;
atawahukumu watu kwa uadilifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.