Native Bible

Psalms 96:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa, mpeni Bwana utukufu na nguvu.

Psalms 96:7 in English

Psalms 96:7 · Berean Standard Bible

Ascribe to the LORD, O families of the nations, ascribe to the LORD glory and strength.

Context

5Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu, lakini Bwana aliziumba mbingu. 6Fahari na enzi viko mbele yake; nguvu na utukufu vimo patakatifu pake. 7Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa, mpeni Bwana utukufu na nguvu. 8Mpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake; leteni sadaka na mje katika nyua zake. 9Mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake; dunia yote na itetemeke mbele zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.