Zaburi 96:6
Psalms 96:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Fahari na enzi viko mbele yake; nguvu na utukufu vimo patakatifu pake.
Psalms 96:6 in English
Psalms 96:6 · Berean Standard Bible
Splendor and majesty are before Him; strength and beauty fill His sanctuary.
Context
4Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote;
yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote. 5Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu,
lakini Bwana aliziumba mbingu. 6Fahari na enzi viko mbele yake;
nguvu na utukufu vimo patakatifu pake. 7Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa,
mpeni Bwana utukufu na nguvu. 8Mpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake;
leteni sadaka na mje katika nyua zake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.