Native Bible

Psalms 96:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake; dunia yote na itetemeke mbele zake.

Psalms 96:9 in English

Psalms 96:9 · Berean Standard Bible

Worship the LORD in the splendor of His holiness; tremble before Him, all the earth.

Context

7Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa, mpeni Bwana utukufu na nguvu. 8Mpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake; leteni sadaka na mje katika nyua zake. 9Mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake; dunia yote na itetemeke mbele zake. 10Katikati ya mataifa semeni, “Bwana anatawala.” Ulimwengu ameuweka imara, hauwezi kusogezwa; atawahukumu watu kwa uadilifu. 11Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.