Zaburi 94:21
Psalms 94:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huungana kuwashambulia wenye haki, kuwahukumu kufa wasio na hatia.
Psalms 94:21 in English
Psalms 94:21 · Berean Standard Bible
They band together against the righteous and condemn the innocent to death.*
Context
19Wakati wasiwasi ulipokuwa mwingi ndani yangu,
faraja yako ilinipa furaha nafsini mwangu. 20Je, kiti cha utawala wa udhalimu kitajiunga nawe,
ule utawala uletao taabu kutokana na sheria zake? 21Huungana kuwashambulia wenye haki,
kuwahukumu kufa wasio na hatia. 22Lakini Bwana amekuwa ngome yangu,
na Mungu wangu amekuwa mwamba ninaoukimbilia. 23Yeye atawalipa kwa ajili ya dhambi zao
na atawaangamiza kwa ajili ya maovu yao;
Bwana Mungu wetu atawaangamiza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.