Native Bible

Psalms 94:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Bwana amekuwa ngome yangu, na Mungu wangu amekuwa mwamba ninaoukimbilia.

Psalms 94:22 in English

Psalms 94:22 · Berean Standard Bible

But the LORD has been my stronghold, and my God is my rock of refuge.

Context

20Je, kiti cha utawala wa udhalimu kitajiunga nawe, ule utawala uletao taabu kutokana na sheria zake? 21Huungana kuwashambulia wenye haki, kuwahukumu kufa wasio na hatia. 22Lakini Bwana amekuwa ngome yangu, na Mungu wangu amekuwa mwamba ninaoukimbilia. 23Yeye atawalipa kwa ajili ya dhambi zao na atawaangamiza kwa ajili ya maovu yao; Bwana Mungu wetu atawaangamiza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.