Native Bible

Psalms 94:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye atawalipa kwa ajili ya dhambi zao na atawaangamiza kwa ajili ya maovu yao; Bwana Mungu wetu atawaangamiza.

Psalms 94:23 in English

Psalms 94:23 · Berean Standard Bible

He will bring upon them their own iniquity and destroy them for their wickedness. The LORD our God will destroy them.

Context

21Huungana kuwashambulia wenye haki, kuwahukumu kufa wasio na hatia. 22Lakini Bwana amekuwa ngome yangu, na Mungu wangu amekuwa mwamba ninaoukimbilia. 23Yeye atawalipa kwa ajili ya dhambi zao na atawaangamiza kwa ajili ya maovu yao; Bwana Mungu wetu atawaangamiza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.